Kurasa

MARQEE TEXT

I PROPHESY.... ''BREAKTHROUGH IN EVERY CHALLENGE IN YOUR LIFE'' IN THE NAME OF JESUS .... AMEN

Tuesday, 29 April 2014

KAMA WEWE NI MKAZI WA SINZA BASI HABARI HII YA NABII PAUL BENDERA INAKUHUSU.

 Christina Shusho na Solomoni Mukubwa wakiwa kwenye ofisi ya Nabii Bendera.
 Solomoni Mukubwa na Nabii Paul Bendera.

 Huduma kubwa iliyoko sinza madukani inayoongozwa na Nabii Paul Bendera siku ya jana ilikua ya utofauti baada ya maelfu ya wakazi wa sinza na sehemu za kona ya dar es salaam walijitokeza kwa wingi kushiriki ibada hiyo
iliyokua ya aina yake.Nabii Bendera ambaye siku ya jana kupitia kipindi cha Tbc 1 alieleza mengi juu ya dhamira yake ya kusaidia huduma za waimbaji akiwemo Christina Shusho aliyekuanaye katika maojianao yake,ambaye tarehe 24/11/2013 atakua akifanya live recording ya tamasha lake akishirikiana na muimbaji kutoka Kenya Solomoni Mukubwa ambaye siku ya jana walikua wote.
Ukiacha hilo waimbaji hawa walihudumu katika ibada hiyo iliyoanza saa nne asubuhi na kuisha saa kumi jioni.Nisikuchoshe mdau wangu tazama picha za huduma hii iliyoko sinza madukani chini ya mpakwa mafuta Nabii Bendera.
 Muonekano wa maelfu ya watu kwa nyuma ya kanisa.
 Kwenye ibada..Christina Shusho na Nabii Bendera
 Solomoni Mukubwa akihudumu kwenye ibada siku ya jana.
 Wakati Nabii Bendera akipiga step ya kucheza rumba ya Solomoni Mukubwa Christina Shusho sijui alikua akishanga nini!!

 Mama na kati ya Tabata Christina Shusho akienda sawa siku ya jana.Picha nne hizo hapo chini ni ushuhuda wa binti pamoja na mwanaye waliopona Ukimwi



 Maombi ya nguvu yakifanyika kwa Mtoto huyu siku ya jana.
 Maombi yakiendelea...

 Huyu ni Mtoto aliye pona ukimwi baada ya maombi ya Nabii Bendera wiki mbili nyuma.
 Ibada ikiendelea

No comments:

Post a Comment