Christina Shusho na Solomoni Mukubwa wakiwa kwenye ofisi ya Nabii Bendera.
Solomoni Mukubwa na Nabii Paul Bendera.
Huduma kubwa iliyoko sinza madukani
inayoongozwa na Nabii Paul Bendera siku ya jana ilikua ya utofauti baada
ya maelfu ya wakazi wa sinza na sehemu za kona ya dar es salaam
walijitokeza kwa wingi kushiriki ibada hiyo
iliyokua ya aina yake.Nabii Bendera ambaye siku ya
jana kupitia kipindi cha Tbc 1 alieleza mengi juu ya dhamira yake ya
kusaidia huduma za waimbaji akiwemo Christina Shusho aliyekuanaye katika
maojianao yake,ambaye tarehe 24/11/2013 atakua akifanya live recording
ya tamasha lake akishirikiana na muimbaji kutoka Kenya Solomoni Mukubwa
ambaye siku ya jana walikua wote.
Ukiacha hilo waimbaji hawa walihudumu
katika ibada hiyo iliyoanza saa nne asubuhi na kuisha saa kumi
jioni.Nisikuchoshe mdau wangu tazama picha za huduma hii iliyoko sinza
madukani chini ya mpakwa mafuta Nabii Bendera.
Muonekano wa maelfu ya watu kwa nyuma ya kanisa.
Kwenye ibada..Christina Shusho na Nabii Bendera
Solomoni Mukubwa akihudumu kwenye ibada siku ya jana.
Wakati Nabii Bendera akipiga step ya kucheza rumba ya Solomoni Mukubwa Christina Shusho sijui alikua akishanga nini!!
Mama na kati ya Tabata Christina Shusho
akienda sawa siku ya jana.Picha nne hizo hapo chini ni ushuhuda wa binti
pamoja na mwanaye waliopona Ukimwi
Maombi ya nguvu yakifanyika kwa Mtoto huyu siku ya jana.
Maombi yakiendelea...
Huyu ni Mtoto aliye pona ukimwi baada ya maombi ya Nabii Bendera wiki mbili nyuma.
Ibada ikiendelea